MTOTO
mzuri Bongo Movies, Jacqueline Wolper, amejikuta akiambulia matusi
mazito kutoka kwa staa mwenzake Isabela Mpanda kisa kikiwa ni kuonesha
mapenzi yake kwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Edward Lowassa.
Isabela
aliamua kumtusi staa huyo akidai anamshanga kujinadi kila siku katika
mtandao wa Instagram kuwa ni mfuasi wa Lowassa wakati amelelewa na Chama
cha Mapinduzi (CCM).
No comments:
Post a Comment