Mwananchi
aliyevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiondolewa na askari
polisi baada ya kujipenyeza kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha
Ukombozi Umma (Chauma), uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es
Salaam leo.
Mgombea
Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi (Chauma), Dk. Hashim
Rungwe, akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho,
uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam leo.
Mzee wa chama hicho, Mbwana Hassan Mbwana akihutubia kwenye uzinduzi huo.
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Robinson Fulgence Lembo, akihutubia kwenye uzinduzi huo.
Mgombea urais wa Zanzibar, Mohamed Masoud Rashid, akihutubia.
Wananchi wakishangilia.
Mgombea Mwenza wa urais kupitia Chama cha Ukombozi (Chauma), Issa Abbas Hussein, akihutubia wakati wa uzinduzi huo.
Baadhi
ya wananchi wakiwa kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Ukombozi
Umma (Chauma), uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam
leo. (Imeandaliwa na mtandao wa
No comments:
Post a Comment