#Mabadiliko2015 - hakuna mtu ambae anawea kufunga nadhiri na chama cha siasa @fredick Sumaye
— CHADEMA MEDIA (@ChademaMedia) August 22, 2015
Mabadiliko2015 - mwenyekiti alikuja na majina mfukoi, na yalikuwayanafahamika, na mimi niliyafahamu - Fredick Sumaye
— CHADEMA MEDIA (@ChademaMedia) August 22, 2015
Mabadiliko2015 - watoa rushwa wengi ndo wametangazwa kuwa wagombea CCM - Fredick summaye
— CHADEMA MEDIA (@ChademaMedia) August 22, 2015
#Mabadiliko2015 - mwaka 2010 safari ijayo hatutaacha kupiga kura, na hatutawachagua, wakati huo umewadia - Fredick Sumaye
— CHADEMA MEDIA (@ChademaMedia) August 22, 2015
#Mabadiliko2015 "Ni lazima sisi tulio na uchungu na nchi hii kuwasaidia hawa ili walete maendeleo ya haraka " - Fredrick sumaye live
— CHADEMA MEDIA (@ChademaMedia) August 22, 2015
No comments:
Post a Comment