Mgombea
wa CCM Daniel Nsanzugwanko wa jimbo la Kasulu Mjini Awekewa Pingamizi
kwa Kigezo cha Umri.Bw.Nsanzugwanko hatakiwi kuwa mgombea Ubunge wa
jimbo hilo Kwani fomu yake inaonyesha amezaliwa tarehe 15/08/2015 kwa
Kigezo hicho kapoteza Sifa ya kugombea Ubunge,Sheria inasema mgombea
Ubunge inatakiwa awe na umri wa miaka 21.Kwani yeye Nsanzugwanko ana
siku 6, bado inalifuatilia jambo hili kwa kina kujuwa ukweli wake
No comments:
Post a Comment