Saturday, August 22, 2015

Sentens SITA ngumu za sumaye akiikana CCM na kujiunga UKAWA muda huu




ALIYEKUWA Waziri mkuu wa Serikiali ya awamu ya Tatu Fredrick Sumaye ametangaza rasmi kujiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema  na kuungana Waziri mkuu wa awamu ya nne Edward lowassa.


             Akizungumza na waandishi wa Habari mda huu Jijini Dar es salaam ,Sumaye amesema amefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na uvunjaji wa kununi ikiwemo katika harakati za kumteua mgombea wa Urais kwa upande wa CCM akidai mwenyekiti wa chama hicho Jakaya Kikwete alitumia ubabe katika kuwaingiza watu wake tano bora.




-Hakuna mtu ambae anaweza kufunga nadhiri na chama cha siasa"



- Fredrick Sumaye

-Sina tatizo na mgombea wa CCM,

-Nina amini akuhonga na anachapa kazi,japokua ana mapungufu mengi katika nafasi iyo" 



-Fredrick sumaye


Mwenyekiti alikuja na majina yake mfukoni,na yalikua yanafahamika,na mimi niliyafahamu"


 - Fredrick sumaye
tatizo la rushwa katika chama cha mapinduzi wakati wa uchaguzi,limezidi" -Fredrick sumaye
Fedha nyingi zimetumika kwenye michakato ya urais, ubunge na udiwani"
 - Fredrick sumaye
Watoa rushwa wengi wametangazwa ndo wagombea wa ccm" - 
Maisha ya kuona hamna maisha nnje ya ccm yamepitwa na wakati"

No comments:

Post a Comment