Kuna wanawake wanaamini kuwa wanaume warefu hata dude zao ni ndefu hivyo kuwatamani kimwili kama ilivyo kwa baadhi ya wanaume kuwa na hisia na wanawake wenye makalio makubwa.
Imefikia mahali hata wengine nikiwabishia wanataka nikawaonyeshe. Pengine inaweza ikawa ni kweli ama si kweli, sasa inakuwaje hadi anataka aione ili aridhike? Hata wanaume wanachokifikiria juu ya mwanamke mwenye mikalio mikubwa kinaweza kikawepo ama kisiwepo. Kazini kwangu mimi ndo mrefu upande wa wanaume wengine wafupi wafupi hivyo kuna hisia zimejengeka kwa wafanyakazi hao kina mama hadi wengine wanafika mbali kiasi hicho.

Ni mimi peke yangu au kuna giants wengine wanapata usumbufu wa aina hii? Ila niwaeleze hao na wengine kuwa ''what u see is not what u get''