Friday, August 7, 2015

KIGWANGWALA KAM-BEZA LOWASSA MTANDAONI, JIONEE HAPA


August 5-2015 alitumia page yake ya twitter kuyatoa yake ya moyoni kwa kuandika sentensi kadhaa kuhusu CHADEMA na Edward Lowassa kwa kuandika >>> ‘Baada ya safari ya matumaini kufa nimeambiwa Edward Lowassa ameiba jina la safari ya mabadiliko toka kwa Kigwangalla‘

No comments:

Post a Comment